sw_tn/1ki/10/03.md

8 lines
199 B
Markdown

# kuketi kwa watumishi wake
Inaweza kumaanisha 1) "Jinsi watumishi wake walivyokuwa wameketi kuzunguka meza" au 2) "Mahli ambapo watumishi wake waliishi"
# roho yake ilizimika
"aliishiwa pumzi"