# kuketi kwa watumishi wake Inaweza kumaanisha 1) "Jinsi watumishi wake walivyokuwa wameketi kuzunguka meza" au 2) "Mahli ambapo watumishi wake waliishi" # roho yake ilizimika "aliishiwa pumzi"