sw_tn/1ki/09/08.md

12 lines
300 B
Markdown

# Ijapokuwa hekalu hili limetukuka sasa
"japokuwa hekalu hili ni kubwa na zuri"
# atasituka na kuzomea
"ataonyesha mshangao na kutoa sauti ya dharau"
# wameinamia na kuiabudu
Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile. Kirai "kuiinamia" kinaonyesha kitendo ambacho watu hutumia wa wakati wa kuabudu.