# Ijapokuwa hekalu hili limetukuka sasa "japokuwa hekalu hili ni kubwa na zuri" # atasituka na kuzomea "ataonyesha mshangao na kutoa sauti ya dharau" # wameinamia na kuiabudu Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile. Kirai "kuiinamia" kinaonyesha kitendo ambacho watu hutumia wa wakati wa kuabudu.