sw_tn/1ki/07/03.md

16 lines
342 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Baadhi ya taarifa ziinazohusu jengo la ikulu zinatolewa.
# Paa la ikulu lilezekwa kwa mierezi
"kuliwekwa mihimili ya mierezi kwa lengo la kulinda paa"
# mihimili
Hizi ni mbao kubwakubwa za mierezi ambazo ziliwekwa kwa ajili ya kulinda paa
# Milango na miimo yake ilikuwa ya mraba
"fremu ngumu za umbo la mstatili"