# Taarifa kwa ujumla Baadhi ya taarifa ziinazohusu jengo la ikulu zinatolewa. # Paa la ikulu lilezekwa kwa mierezi "kuliwekwa mihimili ya mierezi kwa lengo la kulinda paa" # mihimili Hizi ni mbao kubwakubwa za mierezi ambazo ziliwekwa kwa ajili ya kulinda paa # Milango na miimo yake ilikuwa ya mraba "fremu ngumu za umbo la mstatili"