sw_tn/1ki/05/06.md

16 lines
370 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Sulemani anaendelea kuongea na mfalme Hiramu juu ya ujenziwa hekalu
# Lebanoni
Mfalme Hiramu alikuwa mfalme wa mji wa Tiro, ambao ulikuwa kwenye eneo hilohilo ambalo kwa leo linaitwa Lebanoni
# Hakuna mtu miongoni mwetu anayejua kukata miti kama Wasidoni
"Wafanya kazi wako wanajua kukati miti kuliko watu wangu"
# Wasidoni
"Watu wa Sidoni"