sw_tn/1ki/03/04.md

12 lines
248 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mungu anamwuliza Sulemani kuwa amfanyie nini:
# eneo kuu la juu
"eneo linalofahamika sana kwa kutolea kafara" au "madahabu ya muhimu sana"
# Omba! unataka nikupe nini?
"Niombe unalotaka nami nitakupa" au "Unataka nini?