forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
593 B
Markdown
20 lines
593 B
Markdown
# Kila anayekiri kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu
|
|
|
|
"Wale wanaousema ukweli kuhusu, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu"
|
|
|
|
# Mwana wa Mungu
|
|
|
|
Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Yesu kinachoelezea uhusiano wake kwa Mungu.
|
|
|
|
# hukaa ndani yake
|
|
|
|
"Mungu anauhusiano naye na yeye pia anauhusianao na Mungu. Tazama 2:4
|
|
|
|
# Mungu ni Pendo
|
|
|
|
Hii ni mithali ambaoy humaanisha kuwa "tabia ya Mungu ni upendo." Tanzama 4:7
|
|
|
|
# na yeye anayekaa ndani ya upendo anakaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.
|
|
|
|
"wale wanaoendelea kupenda wengine wanao uhusianao wa karibu na Mungu, naye Mungu anao uhusiano wa karibu nao"
|