sw_tn/1jn/04/09.md

24 lines
847 B
Markdown

# Katika hili pendo la Mungu lilifunuliwa miongoni mwetu,
"Kwa hili Mungu alionyesha kwamba alitupenda"
# pendo la Mungu lilifunuliwa
Ule uhalisa kwamba Mungu anampenda kila mtu yamengumzwa kana kwamba yalikuwa kitu ambacho kwacho Mungu angeweza kwao.
# ili tungeishi kwa sababu ya yeye
"kutuwezesha kuishi miliele kwa sababu ya kile Yesu alifanya
# Katika hili pendo
Mungu alituonyesha sisi hasa pendo ni nini
# pendo, si kwamba tulimpenda Mungu, lakini yeye alitupenda, na
"pendo: pendo la kweli siyo namna tuvyompenda Mungu, bali ni jinsi alivyotupenda sisi, na"
# akamtuma Mwanawe awe fidia ya dhambi zetu.
Hapa "fidia" hurejelea tukio la ambalo kwalo Mwana alifanyika dhabihu kwa ajili ya dhambi kwa ajili ya dhambi za watu wote. : "An alimtuma Mwanawe kutoa mwenyewe kuwa dhabihu ili kwamba Mungu angeweza kutusamehe dhambi zetu