# Katika hili pendo la Mungu lilifunuliwa miongoni mwetu, "Kwa hili Mungu alionyesha kwamba alitupenda" # pendo la Mungu lilifunuliwa Ule uhalisa kwamba Mungu anampenda kila mtu yamengumzwa kana kwamba yalikuwa kitu ambacho kwacho Mungu angeweza kwao. # ili tungeishi kwa sababu ya yeye "kutuwezesha kuishi miliele kwa sababu ya kile Yesu alifanya # Katika hili pendo Mungu alituonyesha sisi hasa pendo ni nini # pendo, si kwamba tulimpenda Mungu, lakini yeye alitupenda, na "pendo: pendo la kweli siyo namna tuvyompenda Mungu, bali ni jinsi alivyotupenda sisi, na" # akamtuma Mwanawe awe fidia ya dhambi zetu. Hapa "fidia" hurejelea tukio la ambalo kwalo Mwana alifanyika dhabihu kwa ajili ya dhambi kwa ajili ya dhambi za watu wote. : "An alimtuma Mwanawe kutoa mwenyewe kuwa dhabihu ili kwamba Mungu angeweza kutusamehe dhambi zetu