forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
566 B
Markdown
20 lines
566 B
Markdown
# Anafanya uasi.
|
|
|
|
"Ana kataa kutii sheria ya Mungu"
|
|
|
|
# Ninyi.
|
|
|
|
Hapa neno "Ninyi" ni wingi na inawalenga watu ambao Yohana anawaandikia.
|
|
|
|
# Kristo alidhihirishwa.
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kwa kitenzi tendaji: "Kristo alitokea" au "Baba alimfunua Kristo."
|
|
|
|
# Kudumu katika yeye.
|
|
|
|
"Ni kuendelea kufanya anayotaka Yesu."
|
|
|
|
# Hakuna ambaye...amemuona au amemfahamu.
|
|
|
|
Yohana hutumia neno "amemuona" na "amemfahamu" kusisitiza kwamba mtu ambaye hudumu katika kutenda dhambi hajawahi kukutana na Yesu katika maana ya kiroho. "Hakuna ambaye...hajawahi kabisa kumwamini Yeye."
|