sw_tn/1co/16/07.md

12 lines
494 B
Markdown

# kuwa sitarajii kuwaona sasa
Paulo anaeleza kwamba hataki kuwa na ziara ya ya muda mfupi, lakini anapenda kufanya ziara yamuda mrefu hapo baadaye.
# Pentekoste
Paulo alitarajia kubakia Efeso hadi sikukuu, iliyoanza mwezi Mei au Juni, siku hamsini baada ya pasaka. Baada ya hapo angesafiri kupitia Makedonia, na kufika Korintho kabla ya majira ya baridi yalioanza mwezi wa Novemba
# mlango mpana umefunguliwa
Hii inamaanisha kwamba Mungu amempa nafasi nzuri ya kuwafikia watu kwa injli.