forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
621 B
Markdown
20 lines
621 B
Markdown
# Tutabadilishwa
|
|
|
|
"Mungu atatubadilisha"
|
|
|
|
# katika kufumba na kufumbua kwa jicho
|
|
|
|
Itatokea kwa haraka kama vile mtu anavyo kufunga na kufungua jicho lake.
|
|
|
|
# katika tarumbeta ya mwisho
|
|
|
|
"tarumbeta ya mwisho itakapolia"
|
|
|
|
# hali ya kutoharibika
|
|
|
|
"umbo ambalo halitaharibika ... mwili huu unaweza kuharibika(kuoza).Kupingwa kwa mbiu kunatanguliza matukio makubwa. Katika swala hili, Paulo ana rejea kwenye tukio kubwa la mwisho katika historia ya dunia hii.
|
|
|
|
# huyu binadamu lazima awekwe kwenye milele
|
|
|
|
Paulo anazungumzia juu ya Mungu kuibadilisha miili yetu ili isife tena ni kana kwamba Mungu anaweka mavazi mapya kwetu.
|