forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
534 B
Markdown
16 lines
534 B
Markdown
# miili ya mbinguni
|
|
|
|
Kunauwezekano maana ni 1) jua, mwezi, nyota, na mianga mingine ionekanayo katika wingu au 2) viumbe vya mbinguni, kama vile malaika na visivyo vya kawaida.
|
|
|
|
# miili ya duniani
|
|
|
|
Hii ina rejea kwa wanadamu.
|
|
|
|
# utukufu wa miili ya mbinguni ni wa aina moja na na utukufu wa ulimwenguni ni mwingine.
|
|
|
|
"utukufu uliopo katika miili ya mbinguni ni tofauti na utukufu uliopo katika miili ya asili ya wanadamu "
|
|
|
|
# utukufu
|
|
|
|
Hapa "utukufu" unafananishwa na mfano wa mwangaza wa vitu vya angani katika jicho la mwanadamu.
|