sw_tn/1co/14/31.md

12 lines
347 B
Markdown

# anaweza kutoa unabii mmoja baada ya mwingine
Mtu mmoja tu anaweza kutoa unabii kwa wasaa (watu wawili wasitoe unabii kwa wakati ule ule)
# wote waweze kutiwa moyo
kwa muundo tendaji ni kusema "Farijianeni wote kwa pamoja"
# Mungu si Mungu wa machafuko,
Mungu huwa haleti machafuko kwa kuwafanya watu wanene(waongee) wote kwa wakati ulele.