sw_tn/1co/12/28.md

20 lines
646 B
Markdown

# kwanza mitume
Hii inaweza kumaanisha 1) " ninataja karama ya kwanza kuwa ni ya mitume" au 2) "karama ya muhimu zaidi ni ya mitume"
# wale wasaidiao
" wale wanaotoa msaada kwa waumini wenzao"
# wale wafanyao kazi ya kuongoza
" wale wanaosimamia kanisa"
# wote walio na aina mbalimbali za lugha
Watu wanaozungumza lugha za kigeni moja au zaidi bila kujifunza.
# Je sisi wote ni mitume? wote ni manabii? wote ni waalimu? wote wanafanya matendo ya miujiza?
Paulo anawakumbusha wasomaji wake jambo wanalolijua. kwa maneno mengine anasema " baadhi yao tu ni mitume. Baadhi yao tu ni manabii. Baadhi yao tu hufanya matendo ya miujiza"