sw_tn/1co/11/20.md

24 lines
481 B
Markdown

# mkutanikapo
"kusanyika pamoja"
# mnachokula sio chakula cha Bwana.
" mnaaminia kuwa mnakula chakula cha Bwana lakini hamukiheshimu kama inavyostahili"
# za kulia na kunywea
"ambapo mnaweza kukutana kula chakula"
# mnalidharau
chukia au tendea bila adabu na heshima
# kuwafedhehesha
aibisha au sababisha kujisikia aibu
# Niseme nini kwenu? Niwasifu?
Paulo anawakemea Wakorintho. Kwa maneno mengine anasema " siwezi kusema neno lolote zuri juu ya hili. Siwezi kuwasifu"