sw_tn/1co/09/17.md

28 lines
583 B
Markdown

# kama ninafanya hivi kwa hiari
"kama nitahubiri kwa hiari"
# kwa hiari
"kwa furaha" au "kwa sababu ninataka"
# Bado nina jukumu nililopewa kuwa wakili
katika muundo wa kitenzi tendaji:- "Lazima nifanye kazi hii ambayo Mungu alinip ili kuikamilisha"
# thawabu yangu ni nini?
" Hii ndiyo thawabu yangu."
# kwamba nihubiripo, niweze kutoa injili bila malipo
"Thawabu yangu kwa ajili ya kuhubiri ni kuwa nihubiri bila kupokea malipo"
# kutoa injili
"kuhubiri injili"
# na hivyo situmii haki yangu yote ya injili
"kwa hiyo siwaombi watu kunisaidia ninaposafiri na kuhubiri"