sw_tn/1co/09/09.md

20 lines
557 B
Markdown

# usimfunge
Musa alizungumza na wana wa Israeli kama anazungumza na mtu mmoja, hivyo amri hii ipo katika umoja.
# Ni kweli kwamba hapa Mungu anajali ng'ombe?
"Mnapaswa kujua bila kuambiwa kuwa siyo ng'ombe ambaye Mungu anamjali zaidi."
# Je hasemi hayo kwa ajili yetu?
" Badala yake, Mungu alikuwa anasema kuhusu sisi."
# kwa ajili yetu
Hapa "yetu" inarejea kwa Paulo na Barnabas.
# ni neno kubwa tukivuna vitu vya mwilini kutoka kwenu?
"Mlipaswa kufahamu kabla hata ya kuwaambia kuwa si jambo kubwa kwetu tukipokea msaada wa vitu kutoka kwenu."