sw_tn/1co/07/29.md

16 lines
289 B
Markdown

# Muda ni mfupi
"Kuna wakati mfupi" au "Wakati umekwisha"
# Huzuni
"Kulia" au "Kutoa machozi"
# wote wanaoshughulika na ulimwengu
"Wale ambao wanashughulika kila siku na wasioamini"
# wawe kama hawakushughulika nao
Hii ni kwa sababu utawala wa Shetani wa dunia hii utakoma kitambo.