# Muda ni mfupi "Kuna wakati mfupi" au "Wakati umekwisha" # Huzuni "Kulia" au "Kutoa machozi" # wote wanaoshughulika na ulimwengu "Wale ambao wanashughulika kila siku na wasioamini" # wawe kama hawakushughulika nao Hii ni kwa sababu utawala wa Shetani wa dunia hii utakoma kitambo.