sw_tn/1co/05/06.md

12 lines
332 B
Markdown

# Majivuno yenu si kitu kizuri
"Majivuno yenu ni mabaya"
# Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima?
Kama hamira kidogo husambaa kwa mkate mzima, hivyo dhambi ndogo inaweza kuathiri ushirika wote wa waumini.
# Kristo, Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa
"Bwana Mungu amemtoa KristoYesu, mwanakondoo wetu wa Pasaka"