forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
516 B
Markdown
20 lines
516 B
Markdown
# Nitakuja kwenu
|
|
|
|
"Nitawatembelea"
|
|
|
|
# haitegemeikatika kusema
|
|
|
|
"haitendwi kwa maneno" au "Si nini usemacho"
|
|
|
|
# Nini unachotaka?
|
|
|
|
Paulo alikuwa anawasihi kwa mwisho Wakorintho, kamaamekwisha warudi kwa makosa waliyokwishafanya. "Niambieni nini mnataka kitokee sasa."
|
|
|
|
# Nije kwenu na fimbo au na upendo na roho ya upole.
|
|
|
|
Paulo anatoa tabia mbili tofauti kwa Wakorintho, atakazotumia atakapofika kwao. "Mnataka nije kuwafundisha ninyi kwa lazima, au mnataka nionyeshe upendo na kwa upole?"
|
|
|
|
# upole
|
|
|
|
"wema au "uzuri"
|