sw_tn/1co/04/10.md

24 lines
618 B
Markdown

# Sisi tu wajinga kwaajili ya Kristo, lakini mna busara katika Kristo.
Paulo anatumia kinyume kutofautisha mtazamo wa dunia na mtazamo wa Kikristo wa kuamini katika Kristo.
# Sisi ni wadhaifu, lakini ninyi mna nguvu
Paulo anatumia kinyume kutofautisha mtazamo wa kidunia na mtazamo wa kikristo wa kuamini katika Kristo.
# Mmeheshimiwa
"Watu wanawahesabu Wakorintho katika nafasi ya heshima."
# Tunasika katika hali ya kutoheshiwa
"Watu wanatuhesabu sisi mitume katika nafasi ya kutoheshiwa."
# Hata kwa saa hii iliyopo
"Mpaka sasa" au "Kufikia sasa"
# Tumepigwa vibaya
"Adhibiwa kwa mapigo makaliya mwili"