forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
921 B
Markdown
24 lines
921 B
Markdown
# kaka na dada zangu
|
|
|
|
Hii inamaanisha washirika/ wakristo (waumini)wote wanaume na wanawake
|
|
|
|
# kwa ajili yenu
|
|
|
|
"kwa ajili ya ustawi wenu, au mafaa yenu"
|
|
|
|
# tofauti kati yenu...Ni nini ulicho nacho hukukipokea... kupokea bure, kwa nini mnajivuna kama hamkufanya hivyo
|
|
|
|
Paulo anawaongelea Wakorintho kana kwamba anazumgumza na mtu mmoja, ndiyo maana katika matukio yote anatumia kiwakilishi cha "wewe".
|
|
|
|
# ni nani aonaye tofauti kati yenu na mwingine?
|
|
|
|
Paulo aliwaonya Wakorintho ambao wanafikiri wao ni bora kwa kuwa wameamini injili kwa Paulo au kwa Apolo. "Hamko bora zaidi ya watu wengine."
|
|
|
|
# Ni nini ulicho nacho hukukipokea bure?
|
|
|
|
Paulo alieleza kwamba Mungu aliwapa kile walicho nacho kwa bure. "Kila kitu mlichonacho, Mungu amewapa bure, bila malipo yoyote!"
|
|
|
|
# Kwa nini mnajivuna kama hamkufanya hivyo?
|
|
|
|
Paulo alikuwa anawaonya kwa kujivuna kwa kile walichopokea. "Hamna haki ya kujivuna" au "Msijivune kabisa."
|