sw_tn/1co/03/18.md

24 lines
711 B
Markdown

# Mtu asijisifu mwenyewe
Mtu yeyote hanapaswa kuamini kwa kujidanyanya mwenyewe kwamba ni mwenye hekima katika ulimwengu huu.
# Nyakati hizi
hii inahusu namna ambavyo watu wasioamini hufanya maamuzi
# awe kama "mjinga"
"Yule mtu anapaswa kukubali kile ulimwengu hufikiri ni ujinga kwa ajili ya kupata hekima ya kweli ya Mungu"
# Huwanasa wenye hekima kwa hila zao
Mungu huwatega watu ambao wanafikiri kuwa wana akili na anatumia mipango yao kuwatega wao
# Bwana anajua mawazo ya wenye busara ni ubatili
"Bwana anajua kwamba mipango ya watu ambao hufikiri wana busara ni" au "Bwana anaelewa mipango yote ya wenyebusara na anajua yote ilivyo."
# ubatili
"hayatumiki" "hakuna thamani"au "Hakuna pointi"