sw_tn/1co/01/04.md

29 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anaelezea mwenendo na ushirika wa waumini katika Krito wanaposubiri kurudi kwake mara ya pili
# kwa sababu ya neema ya Mungu ambayo Kristo Yesu aliwapa
Paulo anazungumzia neema kana kwamba ni kitu chenye umbo ambacho Yesu amewapa wakristo kama zawadi. " hii ni kwa sababu Yesu amefanya iwezekane kwa Mungu kuwa mwema kwako"
# Amewafanya kuwa matajiri
Yawezekana maana ni 1)"Kristo amekufanya
wewe tajiri" au 2) "Mungu amekufanya wewe tajiri."
# Amewafanya kuwa matajiri katika kila njia
inatumia lugha ya makazo kumaanisha" aliwafanya matajiri wenye baraka nyingi za rohoni"
# katika usemi
Mungu amekupa uwezo wa kuwaambia na kuwashirikiwe wengine kuhusu ujumbe kwa namna mbalimbali.
# pamoja maarifa yote.
Mungu amekuwezesha kuelewa ujumbe wake kwa namna mbalimbali.
# ushuhuda kuhusu Kristo ya kwamba amethibitishwa kuwa kweli miongoni mwenu.
maneno haya yanaweza kumaanisha: 1) ninyi wenyewe mliona tulichokise kwenu kuhusu Kristo ilikuwa ni kweli 2) watu wengine walijifunza kwa kuona ninyi na sisi tunavyoishi katika Kristo.