sw_tn/1ch/28/06.md

24 lines
643 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Daudi anaendelea kuongea na Waisraeli.
# Aliniambia
"Mungu aliniambia"
# nyumba yangu
Neno "nyumba" linamaana ya hekalu la Yahweh.
# Nimemchagua yeye kuwa mwana wangu, nami nitakuwa baba yake
Hii haimaanishi kwamba Solomoni amekuwa kabisa mwana wa Mungu, ila inaeleza mahusiano binafsi kati yake na Mungu watakayo kuwanayo. "Nimemchagua yeye kumtendea kama mwanangu, na nitakuwa kama baba kwake"
# amri zangu na sheria
Haya maneno mawili kwa ujumla yana maana moja inayoelezea kila kitu ambacho Yahweh alikiamuru.
# kama ulivyo siku ya leo
Neno "ulivyo" hapa linamuelezea Daudi. "kama ulivyokabidhiwa hii siku"