sw_tn/1ch/27/01.md

32 lines
451 B
Markdown

# Hii ni orodha
"Haya ni majina"
# namna tofauti
"namna za tofauti" au "njia nyingi"
# Kila kikosi cha jeshi
"Kila kundi"
# wanaume elfu ishirini na nne
wanaume elfu nne "wanaume 24,000"
# mwaka mzima
"mwaka wote"
# mwezi wa kwanza
Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Machi na mwanzo wa Aprili kwa kalenda za Kimagharibi.
# Yashobeamu mwana wa Zabdieli
Haya ni majina ya wanaume.
# mhusika
"kiongozi"