# Hii ni orodha "Haya ni majina" # namna tofauti "namna za tofauti" au "njia nyingi" # Kila kikosi cha jeshi "Kila kundi" # wanaume elfu ishirini na nne wanaume elfu nne "wanaume 24,000" # mwaka mzima "mwaka wote" # mwezi wa kwanza Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Machi na mwanzo wa Aprili kwa kalenda za Kimagharibi. # Yashobeamu mwana wa Zabdieli Haya ni majina ya wanaume. # mhusika "kiongozi"