sw_tn/1ch/26/12.md

20 lines
288 B
Markdown

# wadogo kwa wakubwa
"kila mtu" au "wanaume wa miaka yote"
# Shelemeia
Hii ni aina nyingine kuandika "Meshelemia" 26:1
# Zekaria
Ona jinsi ulivyo tafsiri 26:1
# Kura ilipo rushwa
"Walipo rusha kura"
# mshauri makini
Huyu ni mtu anaye onyesha hukumu nzuri katika kufanya maamuzi.