# wadogo kwa wakubwa "kila mtu" au "wanaume wa miaka yote" # Shelemeia Hii ni aina nyingine kuandika "Meshelemia" 26:1 # Zekaria Ona jinsi ulivyo tafsiri 26:1 # Kura ilipo rushwa "Walipo rusha kura" # mshauri makini Huyu ni mtu anaye onyesha hukumu nzuri katika kufanya maamuzi.