forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
912 B
Markdown
24 lines
912 B
Markdown
# Adui akainuka dhidi ya Israeli
|
|
|
|
Kuwa juu kunafafanua kuwa na nguvu zaidi. "'Adui wa Israel walikuwa na nguzu zaidi"
|
|
|
|
# Kumchochea
|
|
|
|
Kumsababisha mtu afanye kitu.
|
|
|
|
# Kutoka Beerisheba mpaka Dani
|
|
|
|
Waisraeli waliichukulia hii miji miwili miji yao ya kusini zaidi na kaskazini zaidi. Daudi alitumia hii miji miwili kufikia Waisraeli wote.
|
|
|
|
# Mara mia zaidi ya lilivyo
|
|
|
|
Yoabu alieleza matamanio ya kuwa na jeshi lenye ukubwa wa watu 100 kwa kusema angependa jeshi liwe na wanajeshi zaidi na lenye nguvu.
|
|
|
|
# Lakini bwana wangu mfalme, kwani wote hawamtumikii bwana wangu? kwanini bwana wangu anataka hili? Kwanini ulete hatia kwa Israeli?
|
|
|
|
Lakini bwana wangu mfalme, wote wanakutumikia tayari. Bwana wangu asiombe hili. Utaleta tu hatia kwa watu wa Israeli kwa matamanio yako ya nguvu ya kijeshi.''
|
|
|
|
# Kwanini bwana wangu analitaka hili?
|
|
|
|
Neno ''hili'' limemaanisha mpango wa Daudi kuhesabu wanaume waote wa Israeli.
|