sw_tn/1ch/18/12.md

20 lines
412 B
Markdown

# Abishai ... Zeruia
Haya ni majina ya wanaume.
# Waedomi elfu kumi na nane
"Waedomi 18,000"
# Bonde la Chumvi
Hili ni jina la bonde katika ya Edomu na Yuda uliyo tumika kama uwanja wa pambano.
# vikosi
makundi ya wana jeshi yaliyo pangwa sehemu maalumu.
# Waedomi wote wakawa watumishi wa Daudi
"watu wa Edomi walilazimishwa kumkubali Daudi kama mfalme na kulipa pesa kwa serikali ya Daudi kila mwaka"