sw_tn/1ch/17/16.md

28 lines
852 B
Markdown

# akasema
"Daudi akasema"
# Mimi ni nani, Yahweh Mungu, na familia yangu ni nini, hadi unilete umbali huu?
Daudi anauliza ili swali kuonyesha shukurani kuwa Mungu amemchagua kumbariki ata kama hastahili.
# Hili lilikuwa jambo dogo
Kitu kisicho cha muhimu cha elezwa kuwa kidogo.
# machoni pako
Machoni pa Yahweh ya husishwa na ufahamu wake.
# Nini zaidi mimi, Daudi, niseme?
Daudi anatumia hili swali kuonyesha kuwa hawezi kueleza kabisa shukrani zake kwa Mungu. "Kama ningeweza sema zaidi kuonyesha shukurani zangu kisha ningefanya lakini sijui nini tena niseme"
# mtumishi wako
Daudi anaeleza kuwa yeye ni mtumishi wa Yahweh.
# Umemheshimu mtumishi wako. Umemtambua kwa kipekee mtumishi wako
Maneno yote mawili yana maana moja. Kama lugha yako ina maana moja ya kueleza "heshima" na "utambuzi" kisha hii yaweza tafsiriwa kama neno moja.