sw_tn/1ch/15/29.md

12 lines
217 B
Markdown

# sanduku la Yahweh lilivyokuja kwa mji wa Daudi
"watu walileta sanduku la agano la Yahweh kwenye mji wa Daudi"
# Mikali
Hili ni jina la mke wa Daudi
# akamdharau moyoni mwake
"alimdharau sana katika fikra zake"