# sanduku la Yahweh lilivyokuja kwa mji wa Daudi "watu walileta sanduku la agano la Yahweh kwenye mji wa Daudi" # Mikali Hili ni jina la mke wa Daudi # akamdharau moyoni mwake "alimdharau sana katika fikra zake"