sw_tn/1ch/15/01.md

16 lines
255 B
Markdown

# Daudi akajingea nyumba zake
"Watu wakamjengea nyumba Daudi"
# Akaanda sehemu
"akaamuru sehemu maalumu iandaliwe"
# akakusanya Israeli yote
"akaamuru watu wote wa Israeli waje pamoja"
# kuleta sanduku
"kusherehekea wakati Walawi wakibeba sanduku"