# Daudi akajingea nyumba zake "Watu wakamjengea nyumba Daudi" # Akaanda sehemu "akaamuru sehemu maalumu iandaliwe" # akakusanya Israeli yote "akaamuru watu wote wa Israeli waje pamoja" # kuleta sanduku "kusherehekea wakati Walawi wakibeba sanduku"