sw_tn/1ch/13/01.md

8 lines
290 B
Markdown

# maelfu na mamia
Jeshi lilikuwa na wakuu walio waongoza makundi ya wana jeshi wa kila kimo. "zaidi ya wanaume 1000 na zaidi ya wanaume 100"
# yalionekana sawa machoni pa watu wote
Hapa "macho yana wakilisha mawazo na maoni ya watu. "watu wote walidhani haya ni mambo sahihi ya kufanya"