# maelfu na mamia Jeshi lilikuwa na wakuu walio waongoza makundi ya wana jeshi wa kila kimo. "zaidi ya wanaume 1000 na zaidi ya wanaume 100" # yalionekana sawa machoni pa watu wote Hapa "macho yana wakilisha mawazo na maoni ya watu. "watu wote walidhani haya ni mambo sahihi ya kufanya"