sw_tn/1ch/11/15.md

12 lines
325 B
Markdown

# watatu wa viongozi thelathini
"3 wa 30"
# Kwa wakati huo Daudi alikuwa katika ngome yake, pangoni, Wafilisti walikita kambi yao Bethilehemu
Daudi alikuwa sehemu salama katika pango wakati wana jeshi Wafilisti wakilinda Bethlehemu"
# Wafilisti walikita kambi yao Bethilehemu
"Wafilisti waliweka wana jeshi Bethilehemu"