sw_tn/1ch/06/31.md

12 lines
318 B
Markdown

# sanduku kuja hapo
"watu wa Israeli walieka sanduku kule"
# hema, hema la kukutania
Maana kadha ni 1) kwamba "hema la kukutania" la eleza jina lingine la "maskani" (UDB) au 2) "eneo takatifu la hema la kukutani"
# Walikamilisha wajibu wao kwa kadiri ya maelekezo waliopewa
"Waimbaji walitii maelekezo ya Daudi"