# sanduku kuja hapo "watu wa Israeli walieka sanduku kule" # hema, hema la kukutania Maana kadha ni 1) kwamba "hema la kukutania" la eleza jina lingine la "maskani" (UDB) au 2) "eneo takatifu la hema la kukutani" # Walikamilisha wajibu wao kwa kadiri ya maelekezo waliopewa "Waimbaji walitii maelekezo ya Daudi"