sw_tn/1co/09/19.md

13 lines
370 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kupata zaidi
"kuwashawishi wengine waamini" au "kuwasaidia wengine kuamini katika Kristo"
# nilikuwa kama Myahudi
"nilitenda kama Muyahudi" au "niliishi kulingana kwa tamaduni za Kiyahudi"
# nilikuwa kama mmoja wao aliye chini ya sheria
"Nilikuwa kama mmoja niliye jidhatiti kufuata matakwa ya uongozi wa Wayahudi, nikikubali uelewa wao wa maandiko ya Kiyahudi"