# kupata zaidi "kuwashawishi wengine waamini" au "kuwasaidia wengine kuamini katika Kristo" # nilikuwa kama Myahudi "nilitenda kama Muyahudi" au "niliishi kulingana kwa tamaduni za Kiyahudi" # nilikuwa kama mmoja wao aliye chini ya sheria "Nilikuwa kama mmoja niliye jidhatiti kufuata matakwa ya uongozi wa Wayahudi, nikikubali uelewa wao wa maandiko ya Kiyahudi"