sw_tn/jhn/11/intro.md

34 lines
1.9 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 11 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mwangaza
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Mwangaza ni mfano ya kawaida katika Maandiko yaliyotumiwa kuonyesha haki. Mwangaza pia hutumiwa kuonyesha njia ya haki na kuonyesha maisha ya haki. Giza hutumiwa mara nyingi kama mfano wa kuonyesha dhambi au uovu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/other/light]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]], [[rc://*/tw/dict/bible/other/darkness]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/unrighteous]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mimi ndimi
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Yohana anatumia maneno haya mara saba katika injili yake. Ni maneno sawa yanayotumiwa na Mungu, alipojidhihirisha pamoja na jina lake Yahweh katika kichaka kilichokuwa kinawaka. Jina "Yahweh" linaweza kutafsiriwa kama "Mimi ndimi."
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Pasaka
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Sura hii inaeleza kuwa Yesu hakutembea tena waziwazi kati ya Wayahudi. Kwa hiyo, Mafarisayo walisubiri kumtafuta wakati wa Pasaka. Ilikuwa ni wajibu wa Wayahudi, waliokuwa na uwezo, kwenda Yerusalemu wakati wa sherehe ya Pasaka. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/passover]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Mtu mmoja anapaswa kufa kwa ajili ya watu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Kayafa akasema, "Ni vyema kwenu kwamba mtu mmoja afe kwa ajili ya watu badala ya kuwa taifa lote lipotee." Ni ajabu kwamba Yesu angekuja kufa kwa ajili ya dhambi za taifa na ulimwengu wote. Maneno haya ni kama unabii kuhusu kifo cha Yesu kwa ajili ya dhambi. Hiki ni kitu ambacho kuhani mkuu pia anatabiri kuhusu baadaye katika sura hii. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Kama ungalikuwa hapa"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Maria na Martha walimwamini Yesu lakini hawakuelewa kikamilifu yeye ni nani. Katika kifungu hiki, hawakutambua kwamba alikuwa na nguvu juu ya kifo yenyewe na angeweza kumfufua Lazaro kutoka kwa wafu ikiwa angependa. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[John 11:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__