sw_tn/jhn/06/46.md

20 lines
465 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kinganishi cha maneno
Yesu anaendelea kuongea na mkutano na viongozi wa Wayahudi.
# Amini, amini
Tafsiri hii kama ulivyo tafsiri maneno mengine ya namna hii.
# hakuna mtua yeyote aliyemwona, isipokuwa yeye aliyetoka kwa Mungu
Ingawa hakuna mwadamu aishie katika dunia amemwona Mungu Baba, Yesu, Mwana wa Mungu, amemwona Baba.
# Baba
Cheo muhimu kwa mungu.
# yeye aaminiye ana uzima wa milele
"uzima wa milele" umeunganishwa katika Yesu, Mwana wa Mungu.