# kinganishi cha maneno Yesu anaendelea kuongea na mkutano na viongozi wa Wayahudi. # Amini, amini Tafsiri hii kama ulivyo tafsiri maneno mengine ya namna hii. # hakuna mtua yeyote aliyemwona, isipokuwa yeye aliyetoka kwa Mungu Ingawa hakuna mwadamu aishie katika dunia amemwona Mungu Baba, Yesu, Mwana wa Mungu, amemwona Baba. # Baba Cheo muhimu kwa mungu. # yeye aaminiye ana uzima wa milele "uzima wa milele" umeunganishwa katika Yesu, Mwana wa Mungu.